Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Swali la utafiti.

Katika karne ya 18, 19, 20, 21, hela za noti na shilingi zimewekwa picha za marais wa nchi hasa wa kwanza au wapili. Lakini katika jambo la kustaajabisha nchini marekani kwenye noti ya dola 5 na dola 100 wamemuweka BENJAMIN FRANKLIN ambaye hakuwahi kuwa rais wa nchi hiyo je unajua ni kwanini.... ??

Leta hela ya bando niendelee kusimulia. [emoji23] [emoji23]
 
Kuna dola Kawekwa Herriet Tubman. Nadhan
Si zote Marais
 
Back
Top Bottom