Mambo ya ubani, udi, HahahHeehehe,
Wavutaji na matajiri wanaoweza kuziafford watakusaidia mkuu...Eti bongo nitapata wapi hizo cigar na kwa bei gani moja. [emoji377] [emoji39]
Ni phobia nzuri sana kuwa nayo hii aisee....Hahahaha!
Usiku mwema mkuuWakuu niwatakie usiku mwema.
Lala salama mkuu. Mungu Atulinde kesho tena libeneke kama kawaWakuu niwatakie usiku mwema.
Hahah yote ni mahusiano lakiniGood nyt woote ambao mmetulia kwenye mahusiano hamchepuki
Wachepukaji mtapata gud nyt kwa michepuko yenu
Na wale ambao hatuko kwenye mahusiano tunahusika ama?Good nyt woote ambao mmetulia kwenye mahusiano hamchepuki
Wachepukaji mtapata gud nyt kwa michepuko yenu
Nadhani kuna mtu alikuwa amelengwa hapo...Hahah yote ni mahusiano lakini
Usiku mwema pia mkuu
HahahHahah yote ni mahusiano lakini
Usiku mwema pia mkuu
Maana yake:- Umepotea kama jasho la sisimizi.
Wewe toka lini hauko kwenye mahusionoNa wale ambao hatuko kwenye mahusiano tunahusika ama?
Anyway, Good night mkuu
Hahaha hata mm nmehisi kitu km hichoNadhani kuna mtu alikuwa amelengwa hapo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iko kazi hapa!
Hahaha pamoja bro,nmeelewa tayaliHahah
Braza kama unachepuka salama haikuhusu
Mchepuko si mahusiano salama
Kuna dola Kawekwa Herriet Tubman. NadhanSwali la utafiti.
Katika karne ya 18, 19, 20, 21, hela za noti na shilingi zimewekwa picha za marais wa nchi hasa wa kwanza au wapili. Lakini katika jambo la kustaajabisha nchini marekani kwenye noti ya dola 5 na dola 100 wamemuweka BENJAMIN FRANKLIN ambaye hakuwahi kuwa rais wa nchi hiyo je unajua ni kwanini.... ??
Leta hela ya bando niendelee kusimulia. [emoji23] [emoji23]
Siyo matajiri acha kukariri kuna ndogo na kubwa thin and fat. Moja ni Tshs 17,000/= ile nene ila hawauzi pale mlimani city au city mall.... [emoji23]Wavutaji na matajiri wanaoweza kuziafford watakusaidia mkuu...
Kama huwa huchepuki Good nite[emoji23][emoji23][emoji23]