goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
Me nilikuwa napenda kope zako za kiarabu... [emoji4] [emoji23]Limechoka kuangaliwa.
Na tena kwa mwanamke hii ndio inafaa iwe inatiliwa maananiHakika
Mmeanza mapenzi mapenzi eenhee [emoji23]
Sasa mkuu sisi huku vijijini kweli tutoe 17,000 kununua cigar ya Cuba nyembamba? Unayajua maisha ya huku vijijini? Anyway. Kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake mkuu. Na huko Mlimani City wengine hatujawahi fika tunasikiaga tu kuwa vitu ni ghali sana !!Siyo matajiri acha kukariri kuna ndogo na kubwa thin and fat. Moja ni Tshs 17,000/= ile nene ila hawauzi pale mlimani city au city mall.... [emoji23]
Ajali hiyo nimeisikia mchana kuwa imeua watu wengi.Roli limefail break naona imegonga watu
Limechoka kuangaliwa.
Anaaga ambao huwa hawachepuki....[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ASANTE,
Uwe na usiku mwema pia.
Njoo nikupeleke japo na mimi nipo kijiji cha Queensford bay [emoji23]Sasa mkuu sisi huku vijijini kweli tutoe 17,000 kununua cigar ya Cuba nyembamba? Unayajua maisha ya huku vijijini? Anyway. Kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake mkuu. Na huko Mlimani City wengine hatujawahi fika tunasikiaga tu kuwa vitu ni ghali sana !!
Muda Wa wakubwa huu watoto wamelalaYaani wewe kama popo, usiku ndiyo unaonekana tu.... [emoji23] [emoji95] [emoji379]
Hahahahahaha!!Anaaga ambao huwa hawachepuki....[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Bila shaka...Jamaniii
Jirani yangu ana lijua hili?
YeahCongress wanaweza kupitisha mtu ye yote wanayemtaka ali mradi wameridhika na mchango wake kwa taifa
Me mwenyewe mtoto kesho nina mtihani nashangaa nakesha humu na sijasoma bado. [emoji23]Muda Wa wakubwa huu watoto wamelala
HahahaaBila shaka...
Ulikimbia darasa zuri lenye maua na muziki laini wa Kihindi. Sitakaa nikusamehe. Nilimwambia Andjul yeye akaishia kutoa neno moja tu. "Shwaaaaaaiiiiniiiiii" na msonyo wa Kinyakyusa juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka jicho la samaki, nitakuwa naliangalia mimi tu mvuvi. Najua walio wengi hawatalipenda! [emoji1][emoji1][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]usiku mubasharaMmeanza mapenzi mapenzi eenhee [emoji23]
Unapenda mapenzi au ngono. [emoji23]
Queensford Bay ndo wapi huko. Mtwara au Sumbawanga?Njoo nikupeleke japo na mimi nipo kijiji cha Queensford bay [emoji23]