Kijiito cha utakaso ni.....(sijui nini hapo) huuoshwa humoKijito cha utakaso ni damu ya Yesu[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Hahahahaha mabafu ya uswaziNiko kwenye foleni yakuoga Acha Nile like kwanza.
Kwa bibi nyauKwa mfuga mbwa
YapNadhani kuwa wote humu tuna 4G
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijaona Like ya Bashite
AminaMungu atupe afya na uzima
AminaAmani na upendo udumu
Na kwako pia mkuuAsubuhi njema
morning mtaalam....kwema?Morning mkuu
Ndo nilikuwa naamka etiiNdio hiyo au ulilala ukashtuka?