Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Viatu hivyo vikivaliwa mara kwa mara hutengeneza magaga au mipasuko katika nyayo hasa katika eneo la kisigino, kitabibu tatizo hili huitwa Cons and Calluses.

Baadaye tatizo lingine huibuka ambalo ni vidole gumba kuwa na mtutumko na kuota vinundu katika vifupa vya vidole vya miguuni na kuharibu umbile asilia la vidole ikiwamo kupinda.
 
Hali hii huleta ulemavu wa kudumu katika ungio la kidole gumba kitabibu hujulikana kama Bunion na likitokeo katika ungio la kidole cha tano hujulikana kama Bunionettes.

Lipo tatizo linalojulikana kama Metatarsalgia ambalo haliwezi kuonekana kwa macho, husababisha maumivu miguuni hasa katika kisigino.
 
Tatizo lingine ni madhara ya mishipa ya fahamu kubanwa kitabibu huitwa Morton’s Neuroma ambalo huwa na dalili kama hisia za ganzi, vitu kuchomachoma na kuwaka moto miguuni.

Matatizo mengine ni kupata michubuko katika ngozi ya miguu, kuhisi uchovu katika misuli ya miguu na kuhisi uzito katika maungio ya kifundo na vidole.
 
Ukiacha matatizo ya kiafya, viatu vya kubana vinaweza kukusababishia kushindwa kufanya mazoezi au kucheza kwa usahihi.

Ushauri, tumia viatu kuendana na saizi yako hali vyenye kupwaya kiasi na kuvutika visivyo vyembamba wala kuwa vifupi na vilivyotengenezwa kwa ngozi laini, raba au kitamba.
 
Back
Top Bottom