Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Klopp alimweka katika nafasi ambayo binadamu wengi tunaotizama soka kupitia majukwaani na kwenye luninga tulimpinga kwa nguvu. Katika dunia wanayosajiliwa akina Lukaku, Morata unamweka vipi Firmino kama mshambuliaji wa kati?

Muda hausimami na majibu yapo mbele ya macho yetu na tunaona aibu kurejea kauli zetu ili tuzifute. Aibu zaidi ni kuwa bado huyu mtu haimbwi kwa sababu ni ngumu kuupima mchango wake kwa kutumia macho peke yake tofauti na Mohamed Salah.
 
Kwenye Ligi Kuu ya England, Roberto Firmino amekuwa mchezaji pekee kufanya “tackles” zaidi ya 60 na kutengeneza nafasi za kufunga zaidi ya 50i.

Anafanya haya huku pia akiwa amefunga mabao kumi na tano na zaidi na akiwa ametoa pasi za mabao zaidi ya saba. Ni huyu huyu ambaye amefunga mabao 10 sawa na Mohamed Salah kwenye klabu bingwa Ulaya huku pia akiwa ametoa pasi za mabao saba, tatu zaidi ya Mohamed Salah.
 
Kwa lugha pana zaidi ni kuwa Roberto Firmino akiwa katika safu ya ushambuliaji kwenye ligi kuu ya England pekee ni nusu ya Mohamed Salah kwenye mabao, ni nusu ya Kevin De Bruyne kwenye kutoa pasi za mabao, ni nusu ya Wilfred Ndidi na Ng’olo Kante kwenye kukaba na nusu ya Mesut Ozil kwenye kutengeneza nafasi za kufunga. Tafsiri kamili ni kuwa kwenye mwili wa Roberto Firmino kuna nusu ya Salah, Nusu ua De Bruyne, nusu ya Kante na nusu ya Ozil kwa pamoja. Unataka nini zaidi?
 
Unaweza kupigwa kiberiti au kuwa mummified...

By the way hutajua kuwa unaoza. You won't be there !!!
Kwetu hamnaga cha kiberiti na jins nnavyoona hamna chance ya kuwekwa mujin ni hukooo kijijin kwetu no luxury burial ceremony

Afuen kumbe sitakuwepo hapo kwenye kuoza oppssss nafsi ina aman sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…