Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kama ana milioni 20+ anaweza kuwa mummified kama wale mafarao wa Misri ya kale. Au anaweza kuwa cremated ama kwenye oven au kwa kuni kabisa kama wanavyofanyaga wahindi...
Aaah! Mbwembwe zote hizo za nini, mie wanichimbiage tu kikaburi changu tu fresh nizikwe tu, waniwekee wekee vimaua juu FRESH...
Najichagulia kisehemu cha kuustiri mwili wangu mapema tu kabla sijakumbwa na mauti.
 
Kwetu hamnaga cha kiberiti na jins nnavyoona hamna chance ya kuwekwa mujin ni hukooo kijijin kwetu no luxury burial ceremony

Afuen kumbe sitakuwepo hapo kwenye kuoza oppssss nafsi ina aman sasa
Nadhani unaweza kuzikwa unapotaka. Andika tu ka Will kazuri uweke maelekezo ya kueleweka na utazikwa unapotaka. Na itapendeza zaidi ukiweka na kafungu ka pesa kabisa ka mazishi unayotaka.

[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️ Sasa upo. Kuoza kwako hakupo. Kuoza kwako kukija. Wewe hutakuwepo. Na kisichokuwepo hakiwezi kuumizwa. Wuhuuu
 
Kweli kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya nini yote hayo naachia tu familia itaamua
 
Back
Top Bottom