Nakusalimu[emoji137] [emoji137] [emoji137]Yessss.....
Kujiondokea kimya kimya unaweza leta issues nyingi zisizo za lazima. Tungekiona kifo kama sehemu muhimu ya uwepo wetu tungekichukulia kama jambo la kawaida tu na la lazima; na tungejiandaa vizuri kama tunavyojiandaa kwenye ndoa na matukio mengine muhimu maishani.Daah mie hamna inauma sana bora kujiondokea kimya kimya
Huyo mlishaji naye fala tu.
Duh !!![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] View attachment 770031
Vipi jana ulimsikiliza braza kwa makini?Cheka[emoji23] [emoji23]
Kitu gani[emoji23][emoji23][emoji23] chibuku si mchezo[emoji23][emoji23][emoji23],
Kuna kitu nimekumbuka
Marahabaaaaaaaaa !!!Nakusalimu[emoji137] [emoji137] [emoji137]
Hapo kwenye mkwara watu wasilie kwa kabila langu mmmhh! Itakuwa shida, huwa tunajiachia sana kwenye kulia msibaniTabia za wazungu hizo. Unachagua makaburi na ploti kabisa. Na bima unakata. Na maelekezo yote na nyimbo zitakazoimbwa mpaka na mtu wa kusoma eulogy yako. Inapendeza sana...Unaweza hata kuchimba mkwara watu wasilie...
Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23], Unaogopaaa
Mnachochea na ngoma za madogori ama?Hapo kwenye mkwara watu wasilie kwa kabila langu mmmhh! Itakuwa shida, huwa tunajiachia sana kwenye kulia msibani