Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

445214579_351110.jpg
 
Kujiondokea kimya kimya unaweza leta issues nyingi zisizo za lazima. Tungekiona kifo kama sehemu muhimu ya uwepo wetu tungekichukulia kama jambo la kawaida tu na la lazima; na tungejiandaa vizuri kama tunavyojiandaa kwenye ndoa na matukio mengine muhimu maishani.
Mwafrika na asili zetu kubadilika ngumu sana

Kuna wengine hadi wanafariki familia zao hawafahamu chochote kuhusu kazi zao,waden wao,kampun walizokua wanaziendesha na kanuni zake au siri za kampuni hizo mwisho wa siku familia inateseka kwa kutokua na ushahidi wala kibali cha umiliki kampun hizo
 
Back
Top Bottom