[emoji23][emoji23][emoji23] vinywaji vingine bhana...
Aaah! Mbwembwe zote hizo za nini, mie wanichimbiage tu kikaburi changu tu fresh nizikwe tu, waniwekee wekee vimaua juu FRESH...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kama ana milioni 20+ anaweza kuwa mummified kama wale mafarao wa Misri ya kale. Au anaweza kuwa cremated ama kwenye oven au kwa kuni kabisa kama wanavyofanyaga wahindi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kama ana milioni 20+ anaweza kuwa mummified kama wale mafarao wa Misri ya kale. Au anaweza kuwa cremated ama kwenye oven au kwa kuni kabisa kama wanavyofanyaga wahindi...
Nadhani unaweza kuzikwa unapotaka. Andika tu ka Will kazuri uweke maelekezo ya kueleweka na utazikwa unapotaka. Na itapendeza zaidi ukiweka na kafungu ka pesa kabisa ka mazishi unayotaka.Kwetu hamnaga cha kiberiti na jins nnavyoona hamna chance ya kuwekwa mujin ni hukooo kijijin kwetu no luxury burial ceremony
Afuen kumbe sitakuwepo hapo kwenye kuoza oppssss nafsi ina aman sasa
Duuh sidhan kama itawezekana,watakuhisi wataka kujiua so utawekewa ulinz huoooAaah! Mbwembwe zote hizo za nini, mie wanichimbiage tu kikaburi changu tu fresh nizikwe tu, waniwekee wekee vimaua juu FRESH...
Najichagulia kisehemu cha kuustiri mwili wangu mapema tu kabla sijakumbwa na mauti.
Kweli kabisa.Nadhani unaweza kuzikwa unapotaka. Andika tu ka Will kazuri uweke maelekezo ya kueleweka na utazikwa unapotaka. Na itapendeza zaidi ukiweka na kafungu ka pesa kabisa ka mazishi unayotaka.
[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️ Sasa upo. Kuoza kwako hakupo. Kuoza kwako kukija. Wewe hutakuwepo. Na kisichokuwepo hakiwezi kuumizwa. Wuhuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya nini yote hayo naachia tu familia itaamuaNadhani unaweza kuzikwa unapotaka. Andika tu ka Will kazuri uweke maelekezo ya kueleweka na utazikwa unapotaka. Na itapendeza zaidi ukiweka na kafungu ka pesa kabisa ka mazishi unayotaka.
[emoji654]️[emoji654]️[emoji654]️ Sasa upo. Kuoza kwako hakupo. Kuoza kwako kukija. Wewe hutakuwepo. Na kisichokuwepo hakiwezi kuumizwa. Wuhuuu
[emoji23][emoji23][emoji23]uwiiii[emoji23][emoji23][emoji23], utaoza tu hamna namna.
Hapana! Nitaandaa kabisa ka ujumbe ka maandishi, asitokee wa kupinga....Natoa copies kama 5 hivi kwa ndugu ninao waamini sana. FreshDuuh sidhan kama itawezekana,watakuhisi wataka kujiua so utawekewa ulinz huooo
Nikitazama vyoye vilivyomo,nyota ngurumo,
[emoji23][emoji23][emoji23]Gongo namba mbili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aki tunakugawa huwezi kujua fu*kn drinks kiasi hicho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiiii
Daah mie hamna inauma sana bora kujiondokea kimya kimyaHapana! Nitaandaa kabisa ka ujumbe ka maandishi, asitokee wa kupinga....Natoa copies kama 5 hivi kwa ndugu ninao waamini sana. Fresh
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23], UnaogopaaaDaah mie hamna inauma sana bora kujiondokea kimya kimya
Tubarikiwe sote[emoji120] [emoji120]Ubarikiwe