Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Akili ni nywele kila mtu ana zake. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam kutoa ajira kwa akinamama na wanaume katika soko la Mabibo.
 
Leo Jumanne Mei 8, 2018 MCL Digital limewashuhudia wanawake wakiwaosha miguu baadhi ya watu wanaofika katika soko hilo ambalo kutokana na mvua hizo, eneo kubwa limejaa matope na maji hivyo kusababisha wanaokwenda kununua mahitaji mbalimbali kuchafuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…