Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Barcelona ilishinda taji la ligi baada ya kuilaza Deportivo La Coruna mwezi uliopita na sasa imebakisha mechi tatu pekee kumaliza msimu bila kushindwa huku Atletico ikiwa katika nafasi ya pili.
Mnamo mwezi Januari, Barcelona ilikana madai kwamba iliuwa imekubaliana na Griezmann ambaye anahudmia kandarasi yake hadi 2022 msimu huu .
 
Msimamo wa Atletico Madrid upo wazi na umewekwa wazi mara kadhaa kwamba hakuna hata siku moja tumefanya majadiliano kuhusu Griezmann na wala hatuna nia ya kufanya hivyo'', alisema Marin.'
Aliongezea kuwa awali alikuwa amemuonya Bartomeu kwamba Atletico watadai fidia kutokana na "tabia zisizofaa" za Barcelona iwapo Griezmann atajaribu kuuvunja mkataba wake kutokana na shinikizo kutoka kwa Barca.
 
Korea Kaskazini imewaachia huru raia watatu wa marekani kutoka gerezani, ukurasa wa tweeter wa Rais wa Marekani Donald Trump umeeleza.
hatua hiyo inaonekana kama dalili njema kuelekea mkutano wa kihistoria kati ya Rais Trump na mwenzie wa Korea Kaskazini Kim Jong-un.
Bwana Trump amesema atawakaribisha watu hao watakaporejea na waziri wa mambo ya nje Mike Pompeo ambaye amekuwa mjini Pyongyang kufanya maandalizi ya mazungumzo hayo.
 
Back
Top Bottom