Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MAREKANI: Rais Donald Trump kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter atoa taarifa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Mike Pompeo yuko njia kutoka Korea Kaskazini akiambatana raia 3 wa Marekani waliokuwa wakishikiliwa mateka nchini humo

> Ameongeza kuwa Wanaume hao 3 wako katika hali nzuri na Mike Pompeo amepata wasaa mzuri wa kuzungumza na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un

Zaidi, soma => Rais Trump kuwalaki mateka kutoka Korea Kaskazini
 
Atletico Madrid inasema kuwa imechoshwa na kero la Barcelona la kumnyatia mshambuliaji wake Antoine Griezmann, na imetaka mabingwa hao wa La Liga kuwa na heshima.
Akizungumza siku ya Jumatatu, rais wa Barcelona Josep Maria Bartomeu alisema kuwa alikutana na ajenti wa Griezmann mapema msimu huu
 
Atletico iliiripoti Barcelona kwa Fifa kuhusu madai ya kumnyatia mchezaji huyo wa Ufaransa mnamo Disemba 27.
"Tumechoshwa na tabia mbaya ya Barcelona ," alisema afisa mkuu mtendaji wa Atletico Miguel Angel Gil Marin.
Marin aliongezea kuwa matamshi ya Bartomeu kuhusu Griezmann kabla ya mechi ya fainali ya ligi ya Europa kati ya Atletico na Marseille mnamo Mei 16 ilionyesha ukosefu wa heshima
 
Back
Top Bottom