Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
HahhahaKabisa tunawaachia wao waongee [emoji23]
Ndio maana ukasema upande ulee
Ayiiii! [emoji23]
HahhahaKabisa tunawaachia wao waongee [emoji23]
Me too,wanadisapoint sanaHahahaha
Kwa kweli mwaka huu hatupaswi kupiga kelele.
Hata mimi nimejifanya kama mpira wa bongo siujui sana sku izi
Gaiiiii numby wa jezi[emoji23] [emoji23] [emoji23] woiiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]Waaai shiro na kasmat bana
HahahaMe too,wanadisapoint sana
Kanda ya ziwa tunaelewa maana yake[emoji23]Samahan kwa umbeya
Poti maana yake nn?
Yani sikuhizi sitaki hata mtu anijue[emoji23]Hahhaha
Ndio maana ukasema upande ulee
Ayiiii! [emoji23]
Hapa nilipo nina kibubu kabisaaa natunza pesa nipate simu nyingine spesho kwa jezi mpya,ntajimwagiaje malikes kimya kimyaaa hahahahahGaiiiii numby wa jezi[emoji23] [emoji23] [emoji23] woiiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nani anafahamu kuchoma mishkaki inayonukiaaa vizuri?
Nani anafahamu kuchoma mishkaki inayonukiaaa vizuri?
Mimi nafahamu, hutojuta ukiniajiriNani anafahamu kuchoma mishkaki inayonukiaaa vizuri?
Nani anafahamu kuchoma mishkaki inayonukiaaa vizuri?
Nani anafahamu kuchoma mishkaki inayonukiaaa vizuri?
HahahaKanda ya ziwa tunaelewa maana yake[emoji23]
Wewe haufai kaa kando[emoji23][emoji23]Mimi nafahamu, hutojuta ukiniajiri
Hilo nalo la kuuliza jamani poti mwenzanguNa wewe unawajua Mumi? [emoji1]
Hata davet na shedede ni wanaume wa dar so haupo peke ako[emoji23][emoji23]Hahaha
Hivi hili jukwaa asiye wa kanda ya ziwa ni mimi tuu!!
Kwa hiyo mimi hata mkinielekeza stajua?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]Hapa nilipo nina kibubu kabisaaa natunza pesa nipate simu nyingine spesho kwa jezi mpya,ntajimwagiaje malikes kimya kimyaaa hahahahah