Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
Ila ni aibu sanaYani sikuhizi sitaki hata mtu anijue[emoji23]
Tutakuwa kama Simba wa mika minne ilo pita.
Ila ni aibu sanaYani sikuhizi sitaki hata mtu anijue[emoji23]
Hizi ajira za kibaguzi bora nikae kando.Wewe haufai kaa kando[emoji23][emoji23]
[emoji23]Nani anafahamu kuchoma mishkaki inayonukiaaa vizuri?
Hahaaaaaa mimi pia si wa kanda ya ziwa kama wewe [emoji23][emoji23]Hahaha
Hivi hili jukwaa asiye wa kanda ya ziwa ni mimi tuu!!
Kwa hiyo mimi hata mkinielekeza stajua?
[emoji23][emoji23][emoji23] mwanafunzi kakusahau labda sababu avatar mpyaHilo nalo la kuuliza jamani poti mwenzangu
Kipindi cha mpito hiki kitaisha tuIla ni aibu sana
Tutakuwa kama Simba wa mika minne ilo pita.
kwema brother... umeadimika bwanaNdugu yangu
Sio kwa mpishano huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata davet na shedede ni wanaume wa dar so haupo peke ako[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] jiran anachoma hapa baasi full kutesana kwa kaharufu kazuri[emoji23]
Huyu mwanafunzi huyu hafai kabisa[emoji23][emoji23][emoji23] mwanafunzi kakusahau labda sababu avatar mpya
Sina maana hio in jk voice[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili jina la wanaume wa Dar linakuwaga halina nia njema hili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu mwanafunzi huyu hafai kabisa
[emoji23][emoji23], nimekumbuka upishi wa maandazi nikafaa kucheka tu..Halafu nipo nakula mishkaki nikafikiri harufu nzuri imepenya mpaka huko.[emoji23][emoji23][emoji23] jiran anachoma hapa baasi full kutesana kwa kaharufu kazuri
Daah kakakwema brother... umeadimika bwana
Red devils upo?Hahaha
Nadhani wewe kwenye kila chama tuko wote
gud girl
walai watu mna majina mazuri..haya bwana tutafanyaje sasaKipindi cha mpito hiki kitaisha tu
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] zile yebo si mchezo.[emoji23][emoji23], nimekumbuka upishi wa maandazi nikafaa kucheka tu..Halafu nipo nakula mishkaki nikafikiri harufu nzuri imepenya mpaka huko.
kheri kabisa... Mama Sabrina huyo au nani?Daah kaka
Nilirudi nikaambiwa ulikuwa na leave of absence.
Kheri lakini?
Usha wahi kaa huko lakin?Hahaaaaaa mimi pia si wa kanda ya ziwa kama wewe [emoji23][emoji23]