chibalangunamchezo
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,542
- 2,648
Pesa ni jibu la yote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] waaaiiiii aibuuuuMara paaap! ID ya bingwa wa HATUPOI ni fekero ya NUMBY[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi kama usha kaa sana wmutakuwa mtu wa kanda ya ziwa by naturalizationSanaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hivi wanafunzi unawajuaaa, unajikuta imebaki ya mguu mmoja nyingine ishatafutiwa pacha wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kabisa tena zile zinafaa boarding school nani aibe za hivyo sasa
Ila kama viongozi wa saa hizi ndio woite hawafaiSoka la tanzania halinaga cha mpito watu wanajali matumbo yao tu sio maendeleo ya club
Haaaaaa bado sanaBasi kama usha kaa sana wmutakuwa mtu wa kanda ya ziwa by naturalization
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] waaaiiiii aibuuuu
Kweli kabisa. Wengi wanasema wanataman kuona soka likiendelea ila wakat huo huo hawataki uwekezaj wa muda mrefu na umilik halali mikonon mwa mtu mmoja. Cheki mazembe ipo mbali sababu ina boss mmoja mwenye saut moja inayosikilizwa na woteKuna hawa watu wanaojiita watu wa mpira ndio wanao haribu mpira wa Tanzania. Lakini kuna watu wenye nia ya dhati na huu mpira kabisa tatizo wanapigwa sana vita na hao wanaotetea matumbo yao kwa kivuli cha watu wa mpira.
HaaaaaKwa hiyo hilo poti nzio siwez kulijua hata mkinielekeza likoje?
Alikuepo sanasijamwona leo bhana
BarikiwaAmina
Kasoro uhaiPesa ni jibu la yote