Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Husaidia kupata usigizi



Kama unatatizo la kupata usingizi, ni muda mwafaka sasa kwako kufanya tendo la ndoa. Hii itakusaidia kupata usingizi wa kotosha. Kufika kileleni husababisha kutoka kwa kemikali inayosaidia mwili kutulia.
 
Huleta muonekano mzuri



Utafiti unaonesha kwamba wanawake ambao hufanya tendo la ndoa mara kwa mara huwa wenye furaha na kuwa na mwonekano mzuri kuliko wale wasiofanya tendo hilo.
 
Huweka mzunguko mzuri wa hedhi



Jinsi mwanamke anavyozidi kufika kileleni ndivyo hedhi zake hukaa vizuri na damu kuwa chache. Pia hupunguza maumivu kipindi cha hedhi.
 
Husaidia wapenzi kujuana zaidi



Kufanya tendo la ndoa husaidia kumfurahisha mweza wako na kujua vitu gani anapenda, hali hii inaweza kukufanya ukamjua vizuri mwenza wako zaidi ya mama au baba yake mzazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…