Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyoka huyu hupatikana karibu mikoa yote ya Tanzania, ingawa harakati za kibinadamu hivi sasa ziwafanya wasipatikane kwenye baadhi ya maeneo na hivyo wanaonekana kwa wingi mkoani Tabora, Kigoma, Iringa na milima ya tao la mashariki Uluguru, Udzungwa, Unguu nk
 
Hahahah hapana hili jina langu hata sio la huko mwakaleli ,nmefurahi tu kuiona ile picha

Thanks brother,,
Mchana mwema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…