Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anaitwa KOBOKO. mara zote huwa wa kwanza kukuona kabla hujamuonaView attachment 772220
Aisee huyu mnyama hafai, aliwahi kumkosakosa ndg yangu huko uzinzani, alikuwa anatoka kuteka maji kajitwisha ndoo ya maji fresh, mwenzie yupo mbele yeye yupo nyuma na ndoo yake kichwani....Kama Mungu kamhisi ageuke nyuma kakutana nae macho kwa macho ( kulikuwa na umbali kidogo) mnyama kasimamia mkia na kichwa kikawa juu juu. Bahati nzuri kulikuwa na kimwinuko, yule nyoka anakuja mbio huyu nae anajaribu kukimbia, kilichomuokoa kaachia ile ndoo ya maji bahati nzuri ikaangukia nyuma, yale maji yakatiririka kuelekea alipo nyoka, akashindwa kupanda ile slope na na maji yale....Mungu tu alisimama...HATARI kabisa.
 
Wakenya tuwaache tu walivyo. Wanachacharika sana. Wanasaidiana halafu. Siyo kama sisi. Kiswahili chao kibovu lakini ndiyo wanakifundisha karibu katika vyuo vikuu vyote kule Marekani. Kuanzia Harvard, Princeton, Yale, Stanford, Columbia, Northwestern na kwingineko. Na wakistaafu au kuacha wanahakikisha kuwa wamemwacha Mkenya mwenzao pale. Tusiwalalamikie. Tena wakitaka hata Mlima Kilimanjaro, Serengeti na Ziwa Victoria vyote wachukue tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…