Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee!
IMG-20180510-WA0010.jpg
 
Naam hao wamejaliwa na wengi wao sijui kama wanahangaika na mambo ya chura FAKE, ila siku hizi nchi hasa za Marekani na Brazil hata papuchi zinatengenezwa vile atakavyo mteja baada ya kuangalia sample mbali mbali na kuamua aipendayo. Siku niliona hii documentary kwenye TV nilishangaa sana.

Ila Cosmetic Surgery zinanikera sana, kwanini wasikubali kubaki kama walivyoumbwa na Mungu ???
 
Back
Top Bottom