Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hii itawafaa sana madereva wa safari ndefu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], jamaniNamba 5 na 6 zinafaa sana
Hahaha uharibifu gani tena mkuu ??Kuna haja ya kufanya safari za kwenda kwenye uharibifu tu.
Wana Darisalamu[emoji39]View attachment 772322
LinavutiaWana Darisalamu
Namba 1 inafaa zaidi.Ukimkuta njiani mpenzi wako wa zamani mliyeachana kapatwa matatizo njiani utamsaidia kwa kumbeba kwa mtindo gani miongoni mwa hii??View attachment 772315
Hahaha! Sio no.2?Namba moja inafaa. Ubinadamu kwanza mengine baadaye...
Ntamkodia BajajiUkimkuta njiani mpenzi wako wa zamani mliyeachana kapatwa matatizo njiani utamsaidia kwa kumbeba kwa mtindo gani miongoni mwa hii??View attachment 772315
Maembe mabichi na pilipili ??? Are you pregoo???[emoji39]View attachment 772322
Aisee kuna kiukweli lakini[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Tuashum njia haipitiki kwa bajaji, inapitika kwa miguu tuNtamkodia Bajaji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Namba 5 na 6 zinafaa sana
Hahahaha! Haya hata wanaume wale wa upande mwingine wanakula,, sio kwa wenye pregoo tu.Maembe mabichi na pilipili ??? Are you pregoo???
Safari ya hasara mkuuHahaha uharibifu gani tena mkuu ??
MkuuMmmm yummy
Unakwenda safari unarudi bila kuwa na kitu cha kupokelewaHahaha uharibifu gani tena mkuu ??