ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
KweliLinavutia
KweliLinavutia
ndiyo mkuu.Mmmm yummy
Anhaa kwani ishu ya kuwazia nayo hii ??, itategemea na uzito wake, kama ni mwembamba basi atabebwa vizuri lakini kama ni Tukunyema basi ataburuzwa kama gunia la mahindi.Tuashum njia haipitiki kwa bajaji, inapitika kwa miguu tu
Safi sanaAnhaa kwani ishu ya kuwazia nayo hii ??, itategemea na uzito wake, kama ni mwembamba basi atabebwa vizuri lakini kama ni Tukunyema basi ataburuzwa kama gunia la mahindi.
Blasphemy, Blasphemy.......!. Tena wakitaka hata Mlima Kilimanjaro, Serengeti na Ziwa Victoria vyote wachukue tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anhaa kwani ishu ya kuwazia nayo hii ??, itategemea na uzito wake, kama ni mwembamba basi atabebwa vizuri lakini kama ni Tukunyema basi ataburuzwa kama gunia la mahindi.
Oooh!Aisee kuna kiukweli lakini[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nafurahi sikia hivyo..Huku kwema
Nguvu za kiume ni tatizo la Kisaokolojia tu, na mara nyingi ni mtindo wa maisha tu wa vijana lakini wazima tu.
So be it !!!Blasphemy, Blasphemy.......!
Kutokujiamini eeh.?Nguvu za kiume ni tatizo la Kisaokolojia tu, na mara nyingi ni mtindo wa maisha tu wa vijana lakini wazima tu.
Woga wao tu kuvamia makaranga mabichi na Maviagra....Yikes, wanatia hadi huruma