Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huo ndiyo ukweli, ukifanya mazoezi kiaina na kula vizuri unakuwa fresh tu....Kutokujiamini eeh.?
Mbwai mbwai yani.....So be it !!!
Vijana wachukue hilo, ushauri wa bure kabisa.Huo ndiyo ukweli, ukifanya mazoezi kiaina na kula vizuri unakuwa fresh tu....
Unacheka ??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NimefurahiUnacheka ??
Aisee, mimi Good Boi bwana!Safari ya hasara mkuu
Kama Honey Moon vile ???Unakwenda safari unarudi bila kuwa na kitu cha kupokelewa