MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Baba Pamela buana.....!
Baba Pamela buana.....!
Umeamua kusogeza kiti kabisaKutokujiamini eeh.?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kazi ipo...!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], na gahawa pembeniUmeamua kusogeza kiti kabisa
Noma sana mazee!Kweli kabisa
Wakibaki hao tu najitoa moja kwa moja
mbegu za wapi hizii
TrueSiku hizi tunalinda sana watoto wa kiume kuliko wa kike.
Juzi wakaja wageni mpwa wangu wa miaka 6 akaambiwa alale na wale ndugu chumbani kwake, aisee ilibidi niwabebe wote na kulala nao chumbani kwangu. Sitaki mzaha kabisa kwenye hili,.....Dunia imekwisha haki ya nani..!
Hahahah dogo anafaa apelekwe chuo kikuu anauwezo mkubwa wa kufikiri[emoji23] [emoji23]Mleteni dogo nimpe BONGE la kiburudisho