Mmnh kwa nini?Naomba nitoe lai humu ndani, siku nisipoonekana kabisa hata KIDOGO bhasi andikeni tu death notes.
Ukiongeza kasi kidogo hata vitendea kazi unaletewa bureeee na wadau[emoji3] [emoji3] [emoji3]
DuuuuSiku moja limefukuza watu shambani likaingia ndani ya nyumba usiku na wakajifungia chumbani, kwa hasira likaanza kugonga masufuria ya maji.