ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
Byutiful[emoji254]
Byutiful[emoji254]
AiseeeePyaaaaarrrrrView attachment 772514
duuuuhh Hawa mbona wanakuwa wakubwa kiasi hicho...sianaweza kumeza mtu huyo """..huyo mbeba mbao akachinje kuku """Mpasua Mbao mmoja kwenye misitu ya bonde la mto Ruvu huko Kinole Morogoro ansema, alipita chini ya mti ambao Koboko alikuwepo, akiwa amebeba mbao, nyoka huyo alipiga shambulizi kali ambalo limeishia kuzing'ata mbao. kwa kuwa shambulizii lilikuwa la nguvu nyoka huyo alijifia mwenyewe baada kuzipiga mbao akidhani kichwa cha mwanadamuView attachment 772519
Nimejaribu nimeshinda kukaa pasi na kuingia humuMmnh kwa nini?
Lina kisirani hili dude, wewe sikia tu....Duuuu
Kwema mkuu?Aiseeee