Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2018-05-10-17-32-47.jpg
 
Mkulima mmoja aliyetambuliwa kwa jina la mzee Rojo, kwenye kitongoji cha Zagila kijiji cha Magogoni mkoani Morogoro, alishambuliwa na nyoka huyu na kufa sekunde chache baadaye, walipokuta kwenye shina la mmea wa muaa ambao unatumika na watu maeneo hayo kutengenezea mikeka
tapatalk_1525887634274.jpeg
 
Aisee huyu mnyama hafai, aliwahi kumkosakosa ndg yangu huko uzinzani, alikuwa anatoka kuteka maji kajitwisha ndoo ya maji fresh, mwenzie yupo mbele yeye yupo nyuma na ndoo yake kichwani....Kama Mungu kamhisi ageuke nyuma kakutana nae macho kwa macho ( kulikuwa na umbali kidogo) mnyama kasimamia mkia na kichwa kikawa juu juu. Bahati nzuri kulikuwa na kimwinuko, yule nyoka anakuja mbio huyu nae anajaribu kukimbia, kilichomuokoa kaachia ile ndoo ya maji bahati nzuri ikaangukia nyuma, yale maji yakatiririka kuelekea alipo nyoka, akashindwa kupanda ile slope na na maji yale....Mungu tu alisimama...HATARI kabisa.
Hafai
 
Back
Top Bottom