Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

duuuuhh Hawa mbona wanakuwa wakubwa kiasi hicho...sianaweza kumeza mtu huyo """..huyo mbeba mbao akachinje kuku """
 
Mkata mkaa mmoja huko Panga la Mwingereza Wilayani Kisarawe, akiwa karibu na misitu ya Pori Tengefu la Serous, akiwa amejipumzisha kambini huku akisikiliza mziki kupitia simu yake alipigwa na nyoka huyu kwapani na kufa dakika chache baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…