Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu, Haukuonekana lindo usiku wa kuamkia leo, Au alikukamata sana!?
Ni kweli mkuu,

Jana kuna shughuli nilikuwa nafanya zinanifanya nachoka sana.

Nikifika bedroom najitupa tu nalala mpaka asubuhi,

Sio wewe tu mpaka bafu linalalamika halinioni siku za hivi karibuni LOL. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…