Mzembe?Mnamjua huyu? Ni nyoka mzembe mwenye sumu mbayaView attachment 772784
Napenda mvua SanaUsiku wa mvua na baridi
HahahahahaChezea vyote lakini usicheze na ndumu
Mvua ni maji, maji ni uhai[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Napenda mvua Sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji42] View attachment 772787
Dada toa neno lolote hapo[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Heheheh masaa mbona mengi hivyo aisee.Daa masaa 18 sijakuona mkuu
Marahaaaba, jambo mkuu
Niko njema mkuu.Ni njema Chief, Hujambo?
Vizuri mkuu