moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Uzi huu ni Gulio la Habari. Habari zote hutupiwa hapaHuu uzi wa kupeana likes tu au hata habari mbali mbali zinafaa kuandikwa hapa?
Uzi huu ni Gulio la Habari. Habari zote hutupiwa hapaHuu uzi wa kupeana likes tu au hata habari mbali mbali zinafaa kuandikwa hapa?
Ziwe pamoja naweBaraka za Mwenyezi Mungu ziwe nasi
Ni uzi mkuu uliomeza nyuzi kadhaa,Huu uzi wa kupeana likes tu au hata habari mbali mbali zinafaa kuandikwa hapa?
anhaaaa kumbe ""Koboko hana sifa za kula mwanadamu kwakuwa maumbile yake hayamruhusu. Nyoka pekee anayekula viumbe wakubwa ni Chatu
AmeenGod [emoji120][emoji120]
And lovePeace
[emoji818][emoji818]Ni uzi mkuu uliomeza nyuzi kadhaa,
Mkuu niaje[emoji16] [emoji16] aisee,, aya bhna
Kunywa dawa...
Baridi kama ya kwetu hukuSalama jirani...mvua na baridi tu...
Nimeona utabiri wa hali ya hewa hatari sana watu wa mabondeni wawe makiniUkanda wa pwani utakua na mvua kubwa....
KabisaSiku inaaga
Ya TBCNakwenda kuangalia taarifa ya habari
AnacondaKoboko hana sifa za kula mwanadamu kwakuwa maumbile yake hayamruhusu. Nyoka pekee anayekula viumbe wakubwa ni Chatu