myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sambaza upendo kwa jirani
Aisee!! Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi huko alikoMWANASAYANSI DAVID GOODALL AMESHAPOTEZA MAISHA YAKE KWA KUJIUA MWENYEWE.
Mwanasayansi David Goodall amehitimisha safari yake ya hapa duniani baada ya kujichoma sindano mwenyewe ya sumu iliyochukua dakika moja kuchukua uhai wake.
Mwanasayansi huyo mwenye miaka 104 aliyehitimisha maisha yake ya kuishi hapa duniani alizaliwa jijini London Aprili mwaka 1914 ikiwa ni mwezi mmoja kabla ya kuanza vita ya kwanza ya dunia.
Mwanasayansi huyo mkongwe alisafiri kutoka Australia mpaka Basel, Uswis kwa ajili ya kujitoa uhai kwa hiari, ingawa alisema anachukizwa na kitendo hicho.
Goodall alishika bomba la sindano yenye sumu na kusukuma kwenye mwili wake, na ilitumia dakika moja sumu ikaenea mwili na kupoteza uhai wake.
Sindano ambayo aliitumia kujichoma ilikuwa na sumu aina ya Sodium pentobarbital ambayo iliingia kwenye mishipa ya mwanasayansi huyo.
Wasamaria wema walimchangia Dola 20,000 za Marekani ambazo ni sawa na Sh45milioni ili kumsaidia kutimiza azma yake hiyo.
Yap MkuuMzee wa liver
Amun RaAisee!! Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi huko aliko
Kwa speed ya supersonicSambaza upendo kwa jirani
YNWAMkuu hao sio liverpool.
Marekebisho Mazuri sanaMabadiliko ya UEFA msimu 2018/19
(ntazungumzia ligi kuu tulizozizoea)
1. Mchezaji aliesajiliwa timu ingine ataruhusiwa kucheza(no cup tie) mfano wa Coutinho alipoenda Barca.
2. Makocha wanaruhusiwa sub ya nne hatua za mtoano na sub inaruhusiwa mechi ikienda extra time.
3. Nchi nne kuu England, Spain, Germany na Italy zitaruhusiwa team nne kwenda katika makundi. MABADILIKO Team ya nne haitocheza qualifications bali inafuzu moja kwa moja.
4. Nchi moja inaruhusiwa timu zisizozidi tano.
5. Bingwa wa Uefa na Europa wana nafasi moja moja.
Maelezo:
-Kama bingwa wa Uefa atakua pia alikua top four basi nafasi yake haitochukuliwa na nafasi ya tano kama awali ilivokua bali nafasi itaenda kwa nchi inayoshika nafasi ya saba kwa msimamo wa Uefa: kwa sasa ni Czech. Mfano mzuri ni kama Liver akishinda Uefa Timu za Uingereza zitaenda nne tu. Liver ataingia kama top four wa England na Nafasi yake kama bingwa itaenda Czech.
- Kama bingwa wa Uefa atamaliza nje ya top four basi timu za hio nchi zitashiriki tano. Nne top four na Bingwa wa Uefa. Kwa mfano Chelsea akafanikiwa kumtoa Liver top four lakini liver akashinda Uefa timu zitaenda tano.
- Mshindi Wa Europa akimaliza ndani ya top four au nje utaratibu huo unafuata pia. Timu zinakua nne au tano.
-Kama timu mbili za nchi moja zitashinda Uefa na Europa na zikamaliza nje ya top four basi nafasi ya nne katika ligi anaenda Europa
Mfano: ligi ingeisha
1. Man city
2. Man Utd
3. Spurs
4. Chelsea
5. Liverpool
6. Arsenal
Then, Arsenal akabeba Europa na Liver akabeba Uefa hapo Chelsea anaenda Europa sababu hairuhusiwi timu zaidi ya tano.
20:2920:22
Acha kabisaDuh!! Dunia hii ina mengi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 772384
Amun RaLet love lead the way
Watu wa soka hawa sio huku bla bla nyingiMarekebisho Mazuri sana
Kweli tena[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu niaje habari za leo[QUOTE="Rutashubanyuma,