Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Nilicheki ilikuwa tamu sanaNdio
Hofu kwako ndugu..Kwema lakini?
Asante kwa hofu yako kwako mi ni mzima wa afya, umeniongezea na tabasamuNiko poa Cole Mungu ni mwema
Hofu kwako?
[emoji23][emoji23]*Kuchati na msichana ambaye hamfahamiani ukamuomba akutumie picha akakutumia, watu wa kubeti tunaiita first half win*
Kesho yake akianzia na *UMEAMKAJE MY* tayari *Double Chance* hapo ni kumpiga *MUHINDI TUUUUU*[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji39][emoji39][emoji39]
Niko vizuriHofu kwako ndugu..
Dembele aliuwasha sana ila kubwa zaidi ni Mess alivyopiga lile jombo lake kwenye impossible angle likaingia goli japo refa alishapiga filimbi ya kuotea...Nilicheki ilikuwa tamu sana
Nafurahi kusikia hivyo..Niko vizuri
Nafurahi kusikia hivyo.Asante kwa hofu yako kwako mi ni mzima wa afya, umeniongezea na tabasamu
Asante Ledada
Sawaa rafiki[emoji120] [emoji4]Nafurahi kusikia hivyo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nakwenda 5km[emoji848][emoji848]View attachment 773366