[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] miradi ni mingi na tunatumia pesa zetu za ndaniUmeona eeh! Nyongeza za mishahara hela hakuna kumbe zimepelekwa kwenye bajeti FAKE ya watu wasiojulikana!!!
Ndio Tanzania yetu hiiAisee!!wizi kila sehemu
Kama kawaUzi unachanja mbuga.
Hakuna wa kuhoji hili Bunge limekuwa butu kabisaNdiyo Tume iundwe ili ukweli uanikwe hadharani. Kukataa kuunda Tume kwa kiasi kikubwa cha pesa kama hicho kunaleta wasiwasi mkubwa kwamba kuna kitu kinafichwa.
HahahahahaHaya ndo tunayoweza, makinikia tuwaachie GT