myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
12:00
FactsBraza CCM hawa wez kumtoa kizembe he is the president and chairman of the oarty
Yaan sioni hilo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kadir unavyozid kupanua ndivy watu wanavyozid kutamani [emoji131][emoji131][emoji131][emoji131]
Mkuu niajeActually sikukulenga wewe rolo modo wangu. Huwa na reply na kufuta quote orijino kabla sija-attach picha ninapotumia app. Kwenye hii post nilisahau kufuta quote yako ndo maana ikatokeza; na nilipogundua nikarudi na kuiondoa mara moja.
Sote tuko tofauti na ungangari ndiyo kitambulisho chako. Ukibadilika itabidi na jina ubadilishe na sisi wafuasi wako itabidi ututafutie mashujaa wapya [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji137]♂️[emoji137]♂️[emoji137]♂️[emoji137]♂️[emoji137]♂️Mkuu niaje
Hawezi na ameshashindwa tayari asubuhi kweupe,Tumpe muda atarekebisha anayofanya vibaya
Siamini yeye ni Chairman wa Chama sasa hakuna wa kumgusaMkuu kumtoa kirahisi hawawezi na hilo nakubaliana kabisa na wewe. Lakini kwa historia ya jinsi ambavyo CCM imekuwa inafanya kazi, Raisi Magufuli ajiangalie sana sana sana kwasababu CCM is a den of vipers and wolves. Hapa labda asikosee hatua zake na awe macho masaa yote...CCM yenyewe siyo wakina Nape na Makonda kuna wenyewe mazee.
Atakwenda na kipindiMimi namuonea sana huruma huyu Mzee wetu. Naomba tu kwa Mungu kwamba abadilike kabla hajachelewa kwasababu kwa jinsi anavyoenda lazima kuna sehemu atakwama tu na hatakuwa na watu wengi sana upande wake.....
Kwani macheameni wa vyama vyetu vya siasa huwa hawaguswi?Siamini yeye ni Chairman wa Chama sasa hakuna wa kumgusa
Na huu ndiyo umasikini mkubwa wa Watanzania wengi: Kukubali nchi ya zaidi ya watu Milioni 50 kuongozwa kwa matakwa ya mtu moja tu kwa msaada wa genge lake. Haiwezekani Raisi akawa na nguvu bila kuwa na chombo maalumu cha kumzuia asijifanyie anayotaka kila uchwao: Raisi anavunja miiko ya Kikatiba, Utawala wa Sheria na kuvuruga uchumi wa nchi wa halafu hakuna hata mtu mkweli na muwazi anayemkemea, unategemea tutafika kwa mwendo huu kweli ??? Kila mtu anakwambia mwache Raisi alete maendeleo kwasababu tumechelewa. Sasa sijui hata kama dhana ya Maendeleo kama wanaielewa au wanadhani kuwa na Electric Trains, Sky-Scrappers na Airfields ndiyo maendeleo. Kuna mdau moja humu aliwahi kusema kwamba Watanzaia siyo Masikini bali ni Wajinga sana.....Ujinga ndiyo adui namba moja wa Mtanzania...Sijui lakini kwa system ya nchi yetu Prezidaa yuko Juu ya sheria anafanya anavyotaka
Siamini yeye ni Chairman wa Chama sasa hakuna wa kumgusa
Mzee Nyerere alivyofanyiwa mwaka 1983 na wakina Hans Poppe na Maganga alikuwa siyo Mwenyekiti wa Chama ???Atakwenda na kipindi