Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

77BD076A-A9E1-417A-8328-10E33052A94B.jpeg
 
They cant bro
He is too powerfull for now. Na si unajua nchi hii ukisha pewa uraisi no one can touch you.
Lets hope hata ongeza muda tu 2025
Katiba ipo wazi hata yeye sijui kama anatamani kuongeza muda zaidi kuwa Rais ni mzigo mzito sana angalia hata afya yake ilivyo anafikiria sana watanzania wanataka nini
 
Aaaah mkuu, CCM wanaficha ukweli lakini hakuna mtu Vulnerable kama mkuu wa nchi. Ndiyo maana huwa tunasema kila siku tawala kwa akili na utende haki,..Nyerere na ubabe wake wote ule hakuamini walichomfanyia hawa vyombo vya dola. Walimgeuka vibaya sana yaaani. Miaka ya 80-85 ilikuwa michungu sana kwa yule Mzee wetu.
Sijui lakini kwa system ya nchi yetu Prezidaa yuko Juu ya sheria anafanya anavyotaka
 
Back
Top Bottom