Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Refa anamatatizo yule vitu kama vile ni vya kuacha tu watu tushuhudie maajabuDembele aliuwasha sana ila kubwa zaidi ni Mess alivyopiga lile jombo lake kwenye impossible angle likaingia goli japo refa alishapiga filimbi ya kuotea...