Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1526028685948.jpg
 
Ule valentine uliyemuwah si nae akakuwahi so hauna nafasi tena anzisha mwingine mkali
Hahah!! Eti kuwahi...

Ila sijapata mzooka wa kuanzisha nyuzi japo nimekua ni muhasisi wa nyuzi mbali mbali humu ndani kama vile..

Bashiri kazi za mbember wa JF

Mtakie Pasaka njema member

Wakina dada kwanini mnafunga PM zenu?

Huwa napata idea alafu nawazawadia wenye mizooka hiyo...
 
Kuumbe aiseee ngoja nikufungulie PM uwe unanipa hizo idea hahah
 
Back
Top Bottom