Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Colombia ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na ana nyingi ya ndege, kuna aina tofauti 1700 ya ndege.
duh!Ukitaka kuufahamu ukweli wa hao wasada tafuta uzi wa msiba wa bilal kwenye comments wamekiri wanaambiana PM yupi wamvamie na kumtukana kisa hapatan nao. Ukiwa mpole kila siku bifu la kindezi
Kumbe na wewe umefunga??...Kuumbe aiseee ngoja nikufungulie PM uwe unanipa hizo idea hahah
Hahahah ngoja nifikirieeKumbe na wewe umefunga??...
Aisee embu nifungulie tu jamani hautojuta [emoji23]
Sheria za barabarani zinavunjwa ovyo kila mtu anaendesha gari kwa sheria anavyo jua yeye.
.

Ooh! Hapo nimekupata sana. ShukraniNdio ni sawa na mpaka make up na asiyepaka make up
Urembo ni naksh naksi vikorombwezo kibao wa katu uzuri ni ile hali halisi