Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
ERNASTO RAFAEL GUEVARA DE LA SERNA au Maarufu kwa jina la CHE GUEVARA .
Alizaliwa 14 mei 1928 huko ROSARIO,ARGENTINA; Na kufariki 9october 1967 Huko la GUERA ,BOLIVIA.
CHE Alikuwa ni MTABIBU mzaliwa wa ARGENTINA,Aliyekua mfuasi wa itikadi za KISOSHALIST Za CARL MARX . CHE Anjulikana zaidi kwa HARAKATI ZAKE ZA KIMAPINDUZI dhidi ya Tawala za KIBEPARI hoko AMERIKA YA KUSINI NA AFRIKA.