Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
CHE akiwa ARGENTINA Aliamua kufunga safari kwenda kutaka kujiunga na FIDEL CASTRO, haikuwa rahisi kwake lakinini aliamua kutumia usafiri wa BAISKELI kutoka AGENTINA mpaka CUBA safari iliyokuwa ndefu sana kwake.{kila mwaka nchini CUBA hufanyika matembezi ya BAISKEL kama kumbukumbu yake}