Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,118
Hahahahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilipita kule nikacheka hadi basi.
Am back,asante
Uwe una aga sku ingine ili mi niselete fujo kwa watu
Hahahahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilipita kule nikacheka hadi basi.
Am back,asante
Nakushikamia shemejiUnaweza kudadavua kidogo mkuu? Ana hatari yo yote huyu Kizombi?
Una-do nini mkuu!?Na do
Mh!Hahahahaa
Uwe una aga sku ingine ili mi niselete fujo kwa watu
Yupo humu humu anazurura na watoto alio achiwa na Jakitoo... Nimechoka kama ataniweka kwenye ignore list aniweke tu, sijui nani kamwambia mume na mke wanaachana siku hizi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mkoromije yuko wapi??
SalaamJambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawyuuni wana uzi?
Naona kuna kimbau kimbau kimeingia humu vipi maa umebeba mawe kwa bag[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Akiii si nilikumiss mama yangu carbamazepine
Jambo mkuuJambo tz
Code ngumu. Siko up to date kihivyo kwenye ubuyu. Ujanja wangu unaishia hapa kwenye uzi tu. Mjini huko wala sijui kinachoendelea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh!nimechelewa ila naona code zimefunguliwa tayari
Amani tuJambo Africa