Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1526059919151.jpg
 
Yupo humu humu anazurura na watoto alio achiwa na Jakitoo... Nimechoka kama ataniweka kwenye ignore list aniweke tu, sijui nani kamwambia mume na mke wanaachana siku hizi...
Mwambie namtafuta.
Lakini shem acha tu,yaani kakaa hapa mwezi mzima analia mai waifu wake atolewe kifungoni halafu 0205 imefika analimwa talaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ze winta hasi kamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom