Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo ni jirani yangu,mzoee tu maana ni zaidi ya soud[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Yupo humu humu anazurura na watoto alio achiwa na Jakitoo... Nimechoka kama ataniweka kwenye ignore list aniweke tu, sijui nani kamwambia mume na mke wanaachana siku hizi...
Weka picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani kidole kimevimba.
HahahaaaHamna neno....nasubiri weekend
Utapofuka jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli jirani. Ngoja nilale jicho moja lingine liangalie Meseji[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Unajua saa hizi nipo ndani halafu lenyewe lipo hapo nje linanipigia kelele hadi K Vant haipandi... Sijui lina madhara kwenye pombe yangu[emoji19] [emoji19] [emoji19]Unaweza kudadavua kidogo mkuu? Ana hatari yo yote huyu Kizombi?
He! Basi naahirisha. Mpaka ukipumzika!Utapofuka jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]