Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Sasa nimepitwa point 3Lakini ata huko pia ynapumulia mipira nahisi upo nafasi ya tatu hivi
Hahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Vitu vingine haviitaji kufupishwa aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23] kuna uzi umeelezea nguvu ya hiyo kituNgoja tuache jokes joh,
Ile kitu inafanyanga dada zetu wafukuzwe na wasiende shule iko na majina mob na hiyo unayoitakia ufafanuzi ni moja wapo.
Hope nimeeleweka [emoji23][emoji23][emoji23]