Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Buyern walitangulia wakafika....Mtapoteza tuuu
Usjali[emoji23]
Kutangulia si kufika
Mwaka huu tim nnayo ipenda imechujua ubingwa ni Juve tuuBuyern walitangulia wakafika....
Man city walitangulia wakafika..
Barca walitangulia wakafika..
PSG walitangulia wakafika...
Biashara ni asubuhi na mchana ndugu
[emoji23][emoji23] umekua na mwaka mbovu sana katika kitengo cha michezoMwaka huu tim nnayo ipenda imechujua ubingwa ni Juve tuu
Nzuri, za kwakoHabari za mchana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23] umekua na mwaka mbovu sana katika kitengo cha michezo