moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Erick Munene BBC NairobiHabari za week end
Erick Munene BBC NairobiHabari za week end
Subiri msimu ujao sasa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mwaka jana ulikuwa bora kdogo
Huu mwaka hapana kwa kweli
Nasubiri KievSubiri msimu ujao sasa
Kiev ndio kimeshakua kichaka chako cha kujifichia siku hizi [emoji23]Nasubiri Kiev
[emoji471]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu kwa maana hiyo tutasema ata mti ni ufupisho wa mtimilifu au mtihani
[emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kiev ndio kimeshakua kichaka chako cha kujifichia siku hizi [emoji23]
Ngoja uchukue ndoo ndio utambe sasa mana hiyo Kiev unavyoiongelea utasema unaenda tu kulinunua dukani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Siyo kichaka ni fainali ya UCL
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja uchukue ndoo ndio utambe sasa mana hiyo Kiev unavyoiongelea utasema unaenda tu kulinunua dukani