Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tulisema
Mwanaume ni kuvaa nguo kwanza then anajipaka mafuta zile parts zinaonekana. Kama we ni mwanaume na huwa unajipaka mafuta kila mahali kabla ya kuvaa nguo...kemea hiyo pepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo ndio mimi huita umama kilo 399[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
This relationship thing is very amazing, i dont anderstand how Your ex is happier than you right now, and they are the one who cheated on you[emoji22][emoji22][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo ndio tunasemanga ulipigwa wash wash[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Majaribu yanapoinuka ambayo yanaelekea kutokuelezeka, hatupaswi kuruhusu AMANI yetu kuharibiwa. Hata tutendewe isivyo haki kiasi gani, hebu hasira kali isiinuke. kwa kuendekeza roho ya kulipiza kisasi, tunajidhuru sisi wenyewe. Tunaharibu IMANI yetu wenyewe kwa Mungu na kumhuzunisha Roho Mtakatifu. Kando yetu yuko shahidi, mjumbe wa mbinguni ambaye atainua bendera kwaajili yetu dhidi ya adui.

Atatufungia ndani kwa miale angavu ya jua la HAKI.
Shetani hawezi kupenya ndani ya miale hii. Hawezi kuipita ngao hii ya nuru takatifu.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257]
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…