Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya kushuhudiwa beki wa kutumainiwa wa Arsenal na timu ya Taifa ya Ufaransa, Laurent Coscielny akikosa Fainali za Kombe la Dunia kutokana na kuumia wakati wa mchezo wao wa nusu fainali wa Kombe la Europa League wiki iliyopita, Mbrazil Dani Alves naye hatashiriki.
 
20180512_180806.jpg
 
Alves anaungana na wachezaji wengine wa mataifa tofauti ambao wameumia wakati huu makocha wa timu hizo wakijiandaa kuita wachezaji kwa ajili ya michuano hiyo mikubwa itakayofanyika nchini Russia kuanzia Juni 14 mwaka huu.
 
Back
Top Bottom