Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1526137572501.jpg
 
Ripoti zinadai Neymar alisema mbele ya kundi kubwa la wachezaji wa PSG, wakati walipokuwa kwenye sherehe ya mlo wa usiku uliokuwa umeandaliwa na Mbrazili mwenzake na nahodha wa PSG, Thiago Silva.
 
Mwanamke Akikwambia Humridhishi Usikimbilie Kua Humridhishi Kimapenzi Tu, Anaweza Kua Na Maana Kua Humpi Pesa Ya Kutatua Shida Zake Pia, Ndio Maana Unaweza Kuta Unamridhisha Kimapenzi Lakini Anaenda Kutembea Na Mzee Ambae Sio Fundi Ila Ana Pesa.
 
Kwenye kikosi hicho, ambacho kitanoga zaidi kikitumia mfumo wa 4-2-3-1, golini ni kipa David De Gea, ambaye kwa muda mrefu amekuwa kwenye rada za Real Madrid na wanaweza kukamilisha dili la kumnasa mwishoni mwa msimu huu
 
Kwa upande wa mabeki, kulia atakuwa Danny Rose wa Tottenham, ambaye anawindwa na timu kibao ikiwamo Manchester United, na staa huyo saini yake inaweza kugharimu Pauni 50 milioni, wakati kushoto ni Hector Bellerin wa Arsenal, ambaye naye anaweza kuondoka kwenye timu hiyo kutokana na kuwindwa na Barcelona na Man United na saini yake imedaiwa kuwa ni Pauni 50 milioni.
 
Mabeki wa kati ni Samuel Umtiti wa Barcelona na Marquihos wa PSG. Taarifa zinaweka wazi, Umtiti, ambaye klabu yake imesema akitaka kuondoka, ahame tu, mkataba wake unahitaji kulipiwa Euro 60 milioni tu na anatakiwa na Man United, wakati Marquihos yupo kwenye rada za Real Madrid na huduma yake inaweza kupatikana kwa ada ya Pauni 70 milioni.
 
Back
Top Bottom